Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pale si wanapaita sido ?Nenda pale Veta, hapo town opposite na ilipokua Halmashauri ya mji. Wana vitanda vizuri sana ni kubeba tu, bei kuanzia 600k.
If you want to Kill, KILL don't talk.
Sorry nilikosea, ndio ni Sido hapo hapo.Pale si wanapaita sido ?
Agiza kutokea Goweko,Tula,Nyahua..kwenye njia ya TreniWakuu sehemu gani Dodoma wanachongesha vitanda vizuri quality vya mbao kama vile mninga au mkongo?
Wana vitanda vya mbao maana naona huwa ni vya chumaSorry nilikosea, ndio ni Sido hapo hapo.
If you want to Kill, KILL don't talk.
Goweko ni wapiAgiza kutokea Goweko,Tula,Nyahua..kwenye njia ya Treni
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Goweko ni wapi
Poa poa mkuuNjia ya kupita Itigi kuelekea Tabora,siyo mbali..kinapakiwa kwenye gusi tu hapo fasta kinafika,kama una mtu Manyoni mwambie akusaidie maana wale mafundi kuchonga wa pale wana network kubwa ya huko na huko ndo kuna mbao ngumu kama hivyo muninga,lakini ukinunua muninga kwa huko mjini bei yake ujipange,ila kama mfuko uko mzuri unachezaga na ma per diem it's ok boss
JAH Rastafari Morning Africa.Trust JAH respect nature
Vipo vya mbao pita hapo watakuonesha, ni maridadi sana.Wana vitanda vya mbao maana naona huwa ni vya chuma
OkayyVipo vya mbao pita hapo watakuonesha, ni maridadi sana.
If you want to Kill, KILL don't talk.
Kuna kitanda nilinunua Discount Centre pale kona ya kwenda Muhumbili Upanga, kilikuwa ready made. Kitanda kitamu sana kile yaani nalala kama Don naamka kama Don. Dunia ina vitu vizuri sana waliniuzia pamoja na godoro lake la ukweli sana. Kulala mie ni burudani sana natamani nikipate kingine niwanunulie wanangu nao waone mema ya dunia
Vipi inahimili mikikimikiki ya mechi za mchangani! Ubora wa kitanda naupima kwa mechi .Kuna kitanda nilinunua Discount Centre pale kona ya kwenda Muhumbili Upanga, kilikuwa ready made. Kitanda kitamu sana kile yaani nalala kama Don naamka kama Don. Dunia ina vitu vizuri sana waliniuzia pamoja na godoro lake la ukweli sana. Kulala mie ni burudani sana natamani nikipate kingine niwanunulie wanangu nao waone mema ya dunia
Kuna kitanda nilinunua Discount Centre pale kona ya kwenda Muhumbili Upanga, kilikuwa ready made. Kitanda kitamu sana kile yaani nalala kama Don naamka kama Don. Dunia ina vitu vizuri sana waliniuzia pamoja na godoro lake la ukweli sana. Kulala mie ni burudani sana natamani nikipate kingine niwanunulie wanangu nao waone mema ya dunia
Kiko fresh sana hakina kelele nachakatia tu michakatoKitanda hicho kitakuwa ni kimetokana na mbao zinazotupwa pale mortuary halafu jamaa wana recycle na kutoa majeneza upya au vitanda poa
Weka picha tukioneKiko fresh sana hakina kelele nachakatia tu michakato
Siwezi kuweka picha kuna watu waliofika nyumbani wanaweka kung'amua codes. Ukija Dar tembelea pale discount centre Upanga utaona sample ya vitanda vyaoWeka picha tukione