Sehemu gani wanachongesha vitanda vizuri vya mbao Dodoma?

Sehemu gani wanachongesha vitanda vizuri vya mbao Dodoma?

Kuna kitanda nilinunua Discount Centre pale kona ya kwenda Muhumbili Upanga, kilikuwa ready made. Kitanda kitamu sana kile yaani nalala kama Don naamka kama Don. Dunia ina vitu vizuri sana waliniuzia pamoja na godoro lake la ukweli sana. Kulala mie ni burudani sana natamani nikipate kingine niwanunulie wanangu nao waone mema ya dunia
Kitanda pamoja godoro lake ulichukua kwa sh ngapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom