kichwa kikubwa
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 2,273
- 1,703
Kipi bora kati ya kitanda cha chuma na cha mbao?Acha maneno mingi boss! Tuwekee picha ya hicho kitanda tukione. Isije ikawa ni kitanda cha chuma!! Watu wa Dar mna mambo mengi sana nyinyi!![emoji5]
Kuna vitanda makini iringa order yako tuu.Wakuu sehemu gani Dodoma wanachongesha vitanda vizuri quality vya mbao kama vile mninga au mkongo?
Kitanda pamoja godoro lake ulichukua kwa sh ngapi?Kuna kitanda nilinunua Discount Centre pale kona ya kwenda Muhumbili Upanga, kilikuwa ready made. Kitanda kitamu sana kile yaani nalala kama Don naamka kama Don. Dunia ina vitu vizuri sana waliniuzia pamoja na godoro lake la ukweli sana. Kulala mie ni burudani sana natamani nikipate kingine niwanunulie wanangu nao waone mema ya dunia
We lokiyo umepata chimbo lingine la totoz huko Dom?Wakuu sehemu gani Dodoma wanachongesha vitanda vizuri quality vya mbao kama vile mninga au mkongo?
Hivi ile design vitanda vya Iringa mnaweka na makapeti aliwafundisha nani?
Vitanda vya makapeti?Hivi ile design vitanda vya Iringa mnaweka na makapeti aliwafundisha nani?
Kitanda kimeshonewa makapeti, labda mdau hapo juu akutumie uoneVitanda vya makapeti?
Mzeee wa totoz
Hivi bei Zake zikoje mkuu?, mfano futi 5×6
Hawajui kipi ni bora.Hakuna aliyekujibu?
Hawajui kipi ni bora.
Kwa dodoma maeneo gniiMbao inavutia,ni more classy, na unaweza tengeneza design yeyote unayopenda.