Sehemu hatari kwa mumeo/ mpenzio (kuna machangudoa)

Sasa unaolewa na mkameruni? Basi wewe mwanamke ndo utakuwa na tatizo.
Kichwa kitakuwa hakifanyi kabisa bora kukikata na kuweka cha kuku chapesi kuliko kubeba kilo zaidi ya 4 bure

Ohooo! umesahau u-cameroon!!
 
Sasa unaolewa na mkameruni? Basi wewe mwanamke ndo utakuwa na tatizo.
Kichwa kitakuwa hakifanyi kabisa bora kukikata na kuweka cha kuku chapesi kuliko kubeba kilo zaidi ya 4 bure

watu wengine wana pepo la uzinzi, wakikamatwa na machangudoa wanazuga eti nilienda kumkameruni, unajua namheshimu mke wangu, swali, je ni heshima gani ya kwenda kwa machangu na kumuacha mkeo. Kukameruni ni pepo, kemea, hamu za kukameruni zitaisha
 
Ukiolewa na mkameruni bora kuvunja ndoa, huwa hawasikii hata umuue. Na aina ya wanawake wanaokubali kukameruniwa ni wachache sana wanaojiheshimu, wengi wao ziko mikononi tu, ukiitaka anakupiga nayo usoni uhangaike nayo.

Mkameruni big NO

watu wengine wana pepo la uzinzi, wakikamatwa na machangudoa wanazuga eti nilienda kumkameruni, unajua namheshimu mke wangu, swali, je ni heshima gani ya kwenda kwa machangu na kumuacha mkeo. Kukameruni ni pepo, kemea, hamu za kukameruni zitaisha
 
mwanaume anayechukua machangudoa ujue basi tena huyo. Hana dawa
 
wanaume hawana sehemu hatari wala salama, akiamua kuzini, atazini hata ndani ya nyumba ya ibada.
 
Akishazoea machangu huyo anazidi popote na yeyote anaweza hata kuzini na shemeji yake kitandani kwenu ovyo sana hawa wanaume
 
Bungeni Dodoma na vikao vyao ni sehemu hatari sana.
 
Wanawake malaya wanaitwa machangu na je wanaume malaya wanaitwaje?
 
uchumi umebana siku hz,,,hakuna tena report za machangu
 
Changu, changu ni changu, wa Garden Bistro, wa uwanja wa fisi, wote ni wezi, wote hawana mapenzi ya kweli, wote ni malaya, wote wanajiuza, wote wanakesha kwa ajili ya mtarimbo na wote ni hatari kwa mumeo
Braza unataka mapenzi ya kweli kwa changu?
 
Kitu ambacho dada zetu wanawake wetu hawakielewi mwanaume kwenda kununua huduma ya changudoa ana sababu za msingi..
1:anaepuka kero za uko wapi baby na simu zisizokuwa na maana hasa kwa wanawake wanaopenda kupekua simu za waume zao. Kule hakuna mawasiliano chukua tembea.
2: No stress, kama mke anaboa. Akishamaliza haja zake hukp akirudi nyumbani atakula na kulala tu. Hasa ukizingatia kuwa baada ya ndoa wanawake hujisahau sana na unakuta mzuko wa kumgegedua haupo tena.
3: kuna ndoa nyingi ni picha tu. Ndani hamna kitu hivyo mume huyu ni sehemu ya kukidhi kiu yake.
4: anaweza kupata wanawake wa kila aina kwa pesa kidogo. Mweupe, Mweusi, mrefu,mfupi,mnene,mwembamba na nk. Hivyo kuokonga nafsi yake.

*maeneo ya ngono huru Africa.*
1:Carnival night club Mbeya.
2:Njia ya Dodoma Iringa.
3: Itigi na kaumba Morogoro
4: Tanzania Guest Dodoma
5: Karibu na ofisi za manispaa Ilemela Mwanza.
6: jirani na soko kuu Musoma.
7: Njia ya kwenda kwenye Dampo karibu na round about Bukoba.
8: Nakonde zambia Tunduma mpakani
9: mkabala na kambi ya polisi Mzuzu Malawi.
10: Min price area Kampala Uganda.
11: early side lodge Zimbabwe

NB: kila kwenye nighty club angalia kwa makini utagundua pia kuna huduma ya ngono maeneo hayo.. muhimu kama mumeo ananunua machangu mshukuru sabbu hakuna malaya anaekubali kirahisi kugegeduliwa bila kinga (condom) hivyo waweza kuwa salama kuliko kucheat na mke wa mtu kwa kudhani yuko salama kumbe.. !!! Kimeo.
 
ayaa naonaaa una uzoefuuuu mkubwaa katikaa tasniaaa hiyooo bas sawaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…