Usiruhusu mumeo aende mwenyewe usiku mitaa ya Kona Bar, (Afrika Sana, Kijitonyama DSM), Morogoro Store Oyserbay, Meeda Club Sinza, Buguruni, Temeke Uhayani, Magomeni, tena huku ni hatari zaidi, kuna makaka poa pia (mashoga).
Hebu naomba tuoredheshe maeneo mengine yanayoweza kumtia mwanamume majaribuni, akajikuta anakisahau kitumbua cha mkewe kwenye kidole cha pete ya ndoa. Si mnajua machangu wakuulizi "umeoa?"
Kitu ambacho dada zetu wanawake wetu hawakielewi mwanaume kwenda kununua huduma ya changudoa ana sababu za msingi..
1:anaepuka kero za uko wapi baby na simu zisizokuwa na maana hasa kwa wanawake wanaopenda kupekua simu za waume zao. Kule hakuna mawasiliano chukua tembea.
2: No stress, kama mke anaboa. Akishamaliza haja zake hukp akirudi nyumbani atakula na kulala tu. Hasa ukizingatia kuwa baada ya ndoa wanawake hujisahau sana na unakuta mzuko wa kumgegedua haupo tena.
3: kuna ndoa nyingi ni picha tu. Ndani hamna kitu hivyo mume huyu ni sehemu ya kukidhi kiu yake.
4: anaweza kupata wanawake wa kila aina kwa pesa kidogo. Mweupe, Mweusi, mrefu,mfupi,mnene,mwembamba na nk. Hivyo kuokonga nafsi yake.
*maeneo ya ngono huru Africa.*
1:Carnival night club Mbeya.
2:Njia ya Dodoma Iringa.
3: Itigi na kaumba Morogoro
4: Tanzania Guest Dodoma
5: Karibu na ofisi za manispaa Ilemela Mwanza.
6: jirani na soko kuu Musoma.
7: Njia ya kwenda kwenye Dampo karibu na round about Bukoba.
8: Nakonde zambia Tunduma mpakani
9: mkabala na kambi ya polisi Mzuzu Malawi.
10: Min price area Kampala Uganda.
11: early side lodge Zimbabwe
NB: kila kwenye nighty club angalia kwa makini utagundua pia kuna huduma ya ngono maeneo hayo.. muhimu kama mumeo ananunua machangu mshukuru sabbu hakuna malaya anaekubali kirahisi kugegeduliwa bila kinga (condom) hivyo waweza kuwa salama kuliko kucheat na mke wa mtu kwa kudhani yuko salama kumbe.. !!! Kimeo.