Sehemu hatari zaidi duniani kwa picha

Sehemu hatari zaidi duniani kwa picha

FB_IMG_1732335875828.jpg
 
Kweli ni hatari ila walijaribu kupata njia za kufika sehemu zingine
Fikiria sisi tusio na akili za kubuni kitu
Mpaka karne hii watoto wetu wanakatisha mto kwenda shule
Na watu wazima wameshindwa hata kufunga kamba na miti
Hata hiyo tunashindwa
Ndugu wanaliwa na mamba ila kesho napo pakikucha wanakatisha wengine ukiuliza unaambiwa serikali mbaya hii
Hizi picha kuna zingine wametengeza binadamu kwa manufaa yao
 
Back
Top Bottom