Wakuu Salama.
Hivi karibu nilinunua Gari aina ya Toyota Vanguard. Nimejaribu kuangalia sehemu ambayo spare tyre inakaa/inawekwa nimeshindwa kabisa. Nilipo wasiliana na SBT Japan/Tanzania waliniambia ikaa chini. Lakini nimejaribu kuangalia bila mafanikio. Tafadhali kama kuna mtu ana model kama hii naomba ushauri wako. Bado siamini kuwa Gari inaweza kutengenezwa bila sehemu ya kutunza spare tyre. Na sidhani kama inaweza kufichwa sehemu ya chini kiasi kwamba haiwezi kuonekana kirahisi.