Sehemu inapokaa spare tyre kwa Gari aina ya Toyota Vanguard

Sehemu inapokaa spare tyre kwa Gari aina ya Toyota Vanguard

Yeah, kuna version ya Rav4 ni Vanguard kabisa. Sema sasa hizo gharama za kununua mlango mwengine, tena wako ni mzima kabisa, duh
mkuu wako pia unaweza uuza ukafidia ilo haliumizi kichwa kabisa
 
mkuu wako pia unaweza uuza ukafidia ilo haliumizi kichwa kabisa
Wewe utauza kwa Mtu ambae hauhitaji,
Lakini wewe utakapoenda kununua utakua unauhitaji,
Hapo lazima bei zisiwe sawa,
 
Kuna wengine nimeona wameweka carrier kwa juu kisha wakafunga tairi
 
kwa ninavyojua vanguard za (JDM) Zote haziji na spare tire wala hazina sehemu ya spare tire
 
Back
Top Bottom