Wakuu Salama.
Hivi karibu nilinunua Gari aina ya Toyota Vanguard. Nimejaribu kuangalia sehemu ambayo spare tyre inakaa/inawekwa nimeshindwa kabisa. Nilipo wasiliana na SBT Japan/Tanzania waliniambia ikaa chini. Lakini nimejaribu kuangalia bila mafanikio. Tafadhali kama kuna mtu ana model kama hii naomba ushauri wako. Bado siamini kuwa Gari inaweza kutengenezwa bila sehemu ya kutunza spare tyre. Na sidhani kama inaweza kufichwa sehemu ya chini kiasi kwamba haiwezi kuonekana kirahisi.
Lutifya , umetizama kwa nyuma sehemu ya kuweka mizigo? Kwa magari luxury wakati mwingine wanaweka cover ambayo sion rahisi kujua kuwa chini yake kuna spare tyre (na spanners). Kama harrier, ukiwa na haraka unaweza usijue spare tyre ilipo.Kwenye mlango wa Gari kuna inspection report inayoonyesha kuwa Spare tyre ipo. Hata kama imeibiwa wakati wa clearing process, wapi inakaa??. Ndio tatizo hasa.
Kwenye mlango wa Gari kuna inspection report inayoonyesha kuwa Spare tyre ipo. Hata kama imeibiwa wakati wa clearing process, wapi inakaa??. Ndio tatizo hasa.
LutifyaUkifungua mlango wa nyuma wa but kwenye floor wameweka kama carpet ambayo ukifunua kuna muundo ambao tye inaweza kukaa...pia kuna model ambapo the same place nyuma ila inakuwa imejibinya kurudi ndani(ukiangalia ukiwa chini ya gari...spare tyre inaning'inizwa hapo pia...
inakaa kwenye boneti kama land rover
Kama kwenye boneti si angeiona!
we hata baiskeli hunaWakuu Salama.
Hivi karibu nilinunua Gari aina ya Toyota Vanguard. Nimejaribu kuangalia sehemu ambayo spare tyre inakaa/inawekwa nimeshindwa kabisa. Nilipo wasiliana na SBT Japan/Tanzania waliniambia ikaa chini. Lakini nimejaribu kuangalia bila mafanikio. Tafadhali kama kuna mtu ana model kama hii naomba ushauri wako. Bado siamini kuwa Gari inaweza kutengenezwa bila sehemu ya kutunza spare tyre. Na sidhani kama inaweza kufichwa sehemu ya chini kiasi kwamba haiwezi kuonekana kirahisi.
Vanguard zenye spare tyre from the factory ni chache saana. Maana hiyo ni extra option kwa hizo gari. As standard inakuwa na run flat tyres. Kwa hapa kwetu nimepata taarifa kuwa jamaa wanaweka mlango wa Rav4. Unafit perfectly.
Yeah, kuna version ya Rav4 ni Vanguard kabisa. Sema sasa hizo gharama za kununua mlango mwengine, tena wako ni mzima kabisa, duhVanguard zenye spare tyre from the factory ni chache saana. Maana hiyo ni extra option kwa hizo gari. As standard inakuwa na run flat tyres. Kwa hapa kwetu nimepata taarifa kuwa jamaa wanaweka mlango wa Rav4. Unafit perfectly.
Ni kweli. Ni bora kama unataka spare tyre utafute kabisa ambayo inayo. Japo wengi naona wanajiripua hivyo hivyo na hizo zisizo na spare tyreYeah, kuna version ya Rav4 ni Vanguard kabisa. Sema sasa hizo gharama za kununua mlango mwengine, tena wako ni mzima kabisa, duh