Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Ukipita vijijini ndani ndani mikoani kuna wanawake wazuri sana.
Ila shida ya miji au jiji wengi kujisumbua kutafuta mwanamke ni wavivu ndio maana wengi uwangusha vilio wanapofika nao mijini.
Kuna mikoa ina wanawake wazuri sana ila kama unataka kuoa fanya habaki huko huko kijijini sababu pia umeme umefika na king’amuzi cha azam kinapatikana.
Utanishukuru