Ukipita vijijini ndani ndani mikoani kuna wanawake wazuri sana.
Ila shida ya miji au jiji wengi kujisumbua kutafuta mwanamke ni wavivu ndio maana wengi uwangusha vilio wanapofika nao mijini.
Kuna mikoa ina wanawake wazuri sana ila kama unataka kuoa fanya habaki huko huko kijijini sababu pia umeme umefika na kingβamuzi cha azam kinapatikana.
Hata ulaya au marekani usichukue mke bongo unampeleka kule bora uchukue mbongo wa kule kule, but unaweza at your own risk.
Maana wakishafika ulaya kwa gharama zako ugeuka feminist kwa kuwaiga wake wa kizungu