Bra-joe
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,628
- 1,124
- Thread starter
- #21
Maisha ya ndoa ni wewe mwenyewe unaamu yawe vip! Ishi kama ulivyo, siyo. Mwanzoni mkiwa out unakunywa soda ili umfurahishe mwenzako wakati moyoni unatamani bia. Mimi nina miaka mitano ya ndoa furaha na upendo inazidi kuongezeka.
hongera sana. Na mwenzi wako anafuraha na upendo kama wewe? Huenda ikawa wewe unafuraha kwa sababu umeshika mpini katika hiyo ndoa yako.