Maisha ya ndoa ni wewe mwenyewe unaamu yawe vip! Ishi kama ulivyo, siyo. Mwanzoni mkiwa out unakunywa soda ili umfurahishe mwenzako wakati moyoni unatamani bia. Mimi nina miaka mitano ya ndoa furaha na upendo inazidi kuongezeka.
punguza uongo kidogo hakuna ndoa ya namna hiyo kama ni yako sawa kama mmechokana kila mtu anaweza kuendelea na maisha yake na sio kuombeana vifo
Maisha ya ndoa ni wewe mwenyewe unaamu yawe vip! Ishi kama ulivyo, siyo. Mwanzoni mkiwa out unakunywa soda ili umfurahishe mwenzako wakati moyoni unatamani bia. Mimi nina miaka mitano ya ndoa furaha na upendo inazidi kuongezeka.
Wewe una miaka mi 5 tu unaanza kutamba. Mie nina mwaka wa 20 sasa. Ndiyo kwaaaaaanza kichinachina kimeanza. Nasubiri kienyeji.
Aliyosema yote ni ukweli mtupu na chanzo cha yote ni wanawake.
kila sehemu kwenye hayo maisha ya ndoa kwa utafiti wako hudumu kwa muda gani? miezi? miaka?
maana me nna miaka 9 bado niko kidhungu.
bado sijaoa, hako ni kauchunguzi tu nilikokafanya kwa wanandoa ninaowafahamu.