Sehemu muafaka kwa shughuli.

Sehemu muafaka kwa shughuli.

Landala

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2010
Posts
997
Reaction score
478
Wadau naomba kushee kwa pamoja,eti ni sehemu ipi ni nzuri na muafaka kwa ajili ya mechi isiyokuwa na jezi,je ni kwenye kochi,chini,juu ya meza,juu ya sinki,kitandani,bafuni,chooni,kwenye stuli.Tufahamishane wakuu ili tuongeze ujuzi.
 
popote ili mradi kuna privacy, hakuna distractions na munkari uko juu...
 
popote ili mradi kuna privacy, hakuna distractions na munkari uko juu...

huu ni ujuzi usio na kozi wala maswali.Ile ndotto ya kubalehe ndiyo itakuambia uwe unafanyaje kila ukimpata msichana .
 
Hakuna kama kwenye bahari, mnaelea elea kama watu wamekosa balance.
 
Back
Top Bottom