PresidentSalum
Senior Member
- Dec 3, 2006
- 189
- 21
Unamaanisha barabara ya bagamoyo au eneo la bagamoto??
Mbona maeneo yapo mengi tuuu hata kuanzia hapa mlingotini yapo ambapo bandari ya kisasa itajengwa inibox kama upo unasema ukweli
mkuu kuwa makini. Bagamoyo utapeli wa viwanja/mashamba ni mkubwa sana.
Mi naishi bagamoyo na nimeona watu wengi walivyo tapeliwa.
Huyo aliyekupeleka PM tuambie kakuelekeza maeneo gani. Bagamoyo naijua, asije akakuchinjia baharini.
Ndugu yangu mwenye kuitaji shamba inatategemea Unataka shamba bagamoyo ipi. Sehemu ambayo unaweza pata ni njia mpya ya lami ya kutoka msata kuja bagamoyo hasa maeneo ya kiwangwa, fukayosi au kidomole kama km 80 from Dar es saalaam (hapa nasemea toka mbezi beach africana). Kuna shamba moja la fukayosi ninalolijua liko barabarani kabisa. Jingine limepandwa nanasi lanini Lipo kama km 1.5 kutoka barabara ya lami. If you are serious reach me out on 0783443142

Kwa hekari sasa hivi Tshs ngapi?
Bei zimepanda mno kwa hivi sasa. Zamani kabla ya lami eka za barabarani ungepata kati ya laki 7 na 1.5 m. Lakini kwa sasa bei zimepanda kwa zaidi ya 80%-200%.
Bei zimepanda mno kwa hivi sasa. Zamani kabla ya lami eka za barabarani ungepata kati ya laki 7 na 1.5 m. Lakini kwa sasa bei zimepanda kwa zaidi ya 80%-200%.
kweli mkuu,
juzi niliuliza bei ya eka moja pale Fukayosi bondeni pale, panaitwa fitina, ni njiapanda kwenda Clouds, nikaambiwa ni milioni sita bila chenga. Ni barabarani kabisa, ila sijui maskini watanunua wapi sasa!!!!!!!!!!
Great thinkers, ni wapi naweza nikapata mashamba sehemu nzuri karibu na barabara au isiwe mbali sana na barabara bagamoyo ? Viwanja pia itakuwa vizuri.. Na gharama zake zina range kuanzia gani ? Thanks in advance