Sehemu nzuri za mashamba/ viwanja bagamoyo

PresidentSalum

Senior Member
Joined
Dec 3, 2006
Posts
189
Reaction score
21
Great thinkers, ni wapi naweza nikapata mashamba sehemu nzuri karibu na barabara au isiwe mbali sana na barabara bagamoyo ? Viwanja pia itakuwa vizuri.. Na gharama zake zina range kuanzia gani ? Thanks in advance
 
Nazungumzia eneo la bagamoyo mkoa wa pwani na sio bagamoyo road mkuu. Nitashukuru sana kwa msaada
 
mkuu kuwa makini. Bagamoyo utapeli wa viwanja/mashamba ni mkubwa sana.
Mi naishi bagamoyo na nimeona watu wengi walivyo tapeliwa.
 
Duh, sasa tukanunue wapi hayo mashamba na viwanja ? Nimekimbia kigamboni kwa kuogopa kutapeliwa yakiwemo na maeneo mengi dar. Hivi kuna sehemu isiyokuwa na migogoro ya ardhi hapa nchini kwetu ?
Maana hivi vijisenti vyangu nisije nikachezea vibaya nikaja kujilaumu baadae...pls jamani nisaidieni bandugu
 
peri unaweza kunishauri maeneo gani yamekaa vizuri kwa mashamba au kama ni viwanja pia ? Natanguliza shukurani
 
Last edited by a moderator:

Huyo aliyekupeleka PM tuambie kakuelekeza maeneo gani. Bagamoyo naijua, asije akakuchinjia baharini.
 
Bila bila. Nimemtumia pm asubuhi akaniambia nimtafute mchana. Duh tutafika kweli hivi. Kama unayajua naomba at least uniondoe gizani, nijue
Wapi pa kufatilia na wapi nijiepushe nako!!
 
Ndugu yangu mwenye kuitaji shamba inatategemea Unataka shamba bagamoyo ipi. Sehemu ambayo unaweza pata ni njia mpya ya lami ya kutoka msata kuja bagamoyo hasa maeneo ya kiwangwa, fukayosi au kidomole kama km 80 from Dar es saalaam (hapa nasemea toka mbezi beach africana). Kuna shamba moja la fukayosi ninalolijua liko barabarani kabisa. Jingine limepandwa nanasi lanini Lipo kama km 1.5 kutoka barabara ya lami. If you are serious reach me out on 0783443142
 
Kwa hekari sasa hivi Tshs ngapi?
 
Shukrani sana. Leo nimepata ushauri kama huu uliotoa, sema nafanya utafiti zaidi kabla sijanunua. Asante sana
 
Kwa hekari sasa hivi Tshs ngapi?

Bei zimepanda mno kwa hivi sasa. Zamani kabla ya lami eka za barabarani ungepata kati ya laki 7 na 1.5 m. Lakini kwa sasa bei zimepanda kwa zaidi ya 80%-200%.
 
kweli mkuu,

juzi niliuliza bei ya eka moja pale Fukayosi bondeni pale, panaitwa fitina, ni njiapanda kwenda Clouds, nikaambiwa ni milioni sita bila chenga. Ni barabarani kabisa, ila sijui maskini watanunua wapi sasa!!!!!!!!!!
 
Huyu mama amekalia kuvunja nyumba za bahari beach wakati maskini wananyanganywa ardhi yote wao wamelala Dar es salaam.
 
kweli mkuu,

juzi niliuliza bei ya eka moja pale Fukayosi bondeni pale, panaitwa fitina, ni njiapanda kwenda Clouds, nikaambiwa ni milioni sita bila chenga. Ni barabarani kabisa, ila sijui maskini watanunua wapi sasa!!!!!!!!!!

DUH!! mbona naskia huko fukayosi ni bei chee. millioni sita mbona parefu hivo. khaaaaaaaaa!!
 
Great thinkers, ni wapi naweza nikapata mashamba sehemu nzuri karibu na barabara au isiwe mbali sana na barabara bagamoyo ? Viwanja pia itakuwa vizuri.. Na gharama zake zina range kuanzia gani ? Thanks in advance

Kiwangwa mbele ya bagamoyo sh. 550,000 per acre.
 
Back
Top Bottom