habar za kutwa wadau. Tafadhal naomba mnielekeze namna ya kupata scholarship kwa ajili ya kusoma masters katika chuo cha hapa nchini. yaani nimepata admission mzumbe ila uwezo wa kifedha sina, je kuna taasisi za ndani au nnje nakoweza kupata scholarship? msaada wenu wakuu.