Sehemu ya biashara nimekodi.kila ikifika tarehe za kulipa natumiwa sms mimi ni mwenye nyumba wako tafadhali tuma, wanajuaje hawa wezi?

Sehemu ya biashara nimekodi.kila ikifika tarehe za kulipa natumiwa sms mimi ni mwenye nyumba wako tafadhali tuma, wanajuaje hawa wezi?

Pdidy

JF-Expert Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
57,951
Reaction score
32,619
Nauliza tu kwa Nia njemaa

WAPENDWA
Mm na sehemu kawe tatu za BIASHARA nimekodisha

KILA ukifika wakati WA KULIPA kodi nkatumiwa msg za MATAPELI NDUGU....jitahidi basi tulipane Kodi yetu na natumiwa kwenye line mbili tofauti

Haitoshii
Na VYUMBA napangisha airport


Yaani wapangaji wannenkati ya saba

KILA ikifika wakati na siku wanayotakiwa kulipa Kodi

WAPENDWA wanapiga siku kaka .didy nimeona msg yakoo una namba nyingine

Nikawambia hao MATAPELI m situmagi msg kwa mpangaji mpaka mwezi UISHE nakufwata

Nimekaa najiuliza..kwangu mm kwanza
Hawa WATU wanajuaje huu ndio mda wakulipa Kodi

Niliwaza ya wapangaji wangu airport wamefika wananiulixa kaka Kwan Hawa MATAPELI wanajuaje huu NDIO mda wakukulipa

Nkaenda kuwaonyesha msg xangu nilixotumiwa wakacheka wakachoka

Yaani hii nchi tuna mwendoo sana kulinda mawasiliano yetu

Yaani naamini Hawa kuna WATU kwenye kampuni za mitandao wanasoma msg zetu WANAJUA huyu mda huu WA malipo wanawajuza wahuni wao wanatuchekecha

Inasikitisha sanasanaaa
 
Back
Top Bottom