Sehemu ya Door Lock ya Bugatti inauzwa $2,000+, ila ni same part iliotumika kwenye Volkswagen ambayo wanauza $40!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,566
Reaction score
104,386
Wacha wenye hela waibiwe.
IMG_7833.jpeg

Kuna Youtuber anaitwa Matt Armstrong, amekua aki-rebuild magari mbalimbali ya kifahari yaliyopata ajali au kuharibika kisha kuyauza.
IMG_7834.jpeg

Amedeal na Ferrari, Lambo, Porsche, RR, etc na amekua akionyesha step kwa step, kwahiyo gari moja anaweza akatuwekea ata kwenye video 4 zenye urefu wa dk 50+ kwa siku tofauti hadi linakamilika.
IMG_7827.jpeg

Sasa si ikaja project ya Bugatti Chiron Spur. Aisee pakawa patamu.
IMG_7826.jpeg

Kila akienda kununua spare maduka ya Bugatti wanakataa kuuza. Ukitaka kufix gari lilete gereji kwao.
IMG_7829.jpeg

Hadi CEO wa Bugatti Mate Rimac akasema Matt ilete iyo gari Paris, tutakupa offer, hiyo gari ni sehemu tatu tu duniani inaweza kutengenezwa. Izo ni dealrships zao.
IMG_7828.jpeg

Kwahiyo ukiharibu Bugatti hapa Dar inabidi ipande ndege iende Ufaransa kutibiwa, sio Sinza.

Matt akasema chill.

Sasa katika kufix amevumbua madudu ya ajabu sana, mfano Airbag ya Bugatti ni samw Airbags za Audi A3, ambayo inauzwa $50-100 max, ila wao wanauza $1,500.
IMG_7830.jpeg

Kuna part ya Kitasa wanauza $2,000+ ila ni same part number na VW moja ambayo wao wanauza offcial $30 hivi.
IMG_7831.jpeg

Kuna parking sensors za VW na Audi official ni $20-30 ila Bugatti ni $500 each.
IMG_7832.jpeg

Kuna watu mnaweza msinielewe. Sio kwamba zinaingiliana, NO. Ni same same same same kitu. Same part number. Same manufacturer. Same kila kituuuuu.

Hadi sasa Bugatti ipo stage nzuri. Baadhi ya parts ame 3D print, kwenye comment makampuni mengi sana ya 3D printing wanamsaidia kumwambia tutakufanyia this or this kwa bei hii.

Kama haitoshi, juzi juzi amenunua Bugatti Veyron kwaajili ya project.
IMG_7835.jpeg

Ndio fist time Bugatti inefanyiwa repair kubwa hivi nje ya shops zao.

Bugatti wametishia kum-sue ila hana muda nao.
 
Wacha wenye hela waibiwe.
View attachment 3577940
Kuna Youtuber anaitwa Matt Armstrong, amekua aki-rebuild magari mbalimbali ya kifahari yaliyopata ajali au kuharibika kisha kuyauza.
View attachment 3577941
Amedeal na Ferrari, Lambo, Porsche, RR, etc na amekua akionyesha step kwa step, kwahiyo gari moja anaweza akatuwekea ata kwenye video 4 zenye urefu wa dk 50+ kwa siku tofauti hadi linakamilika.
View attachment 3577942
Sasa si ikaja project ya Bugatti Chiron Spur. Aisee pakawa patamu.
View attachment 3577943
Kila akienda kununua spare maduka ya Bugatti wanakataa kuuza. Ukitaka kufix gari lilete gereji kwao.
View attachment 3577945
Hadi CEO wa Bugatti Mate Rimac akasema Matt ilete iyo gari Paris, tutakupa offer, hiyo gari ni sehemu tatu tu duniani inaweza kutengenezwa. Izo ni dealrships zao.
View attachment 3577946
Kwahiyo ukiharibu Bugatti hapa Dar inabidi ipande ndege iende Ufaransa kutibiwa, sio Sinza.

Matt akasema chill.

Sasa katika kufix amevumbua madudu ya ajabu sana, mfano Airbag ya Bugatti ni samw Airbags za Audi A3, ambayo inauzwa $50-100 max, ila wao wanauza $1,500.
View attachment 3577947
Kuna part ya Kitasa wanauza $2,000+ ila ni same part number na VW moja ambayo wao wanauza offcial $30 hivi.
View attachment 3577948
Kuna parking sensors za VW na Audi official ni $20-30 ila Bugatti ni $500 each.
View attachment 3577949

View attachment 3577952

Shida sio bei chee ya parts bali ni programming baada ya kuweka part mpya. Hapo lazima Bugatti ipelekwe kwenye dealership ili gari iweze kutambua hizo new parts.
 
Wacha wenye hela waibiwe.
View attachment 3577940
Kuna Youtuber anaitwa Matt Armstrong, amekua aki-rebuild magari mbalimbali ya kifahari yaliyopata ajali au kuharibika kisha kuyauza.
View attachment 3577941
Amedeal na Ferrari, Lambo, Porsche, RR, etc na amekua akionyesha step kwa step, kwahiyo gari moja anaweza akatuwekea ata kwenye video 4 zenye urefu wa dk 50+ kwa siku tofauti hadi linakamilika.
View attachment 3577942
Sasa si ikaja project ya Bugatti Chiron Spur. Aisee pakawa patamu.
View attachment 3577943
Kila akienda kununua spare maduka ya Bugatti wanakataa kuuza. Ukitaka kufix gari lilete gereji kwao.
View attachment 3577945
Hadi CEO wa Bugatti Mate Rimac akasema Matt ilete iyo gari Paris, tutakupa offer, hiyo gari ni sehemu tatu tu duniani inaweza kutengenezwa. Izo ni dealrships zao.
View attachment 3577946
Kwahiyo ukiharibu Bugatti hapa Dar inabidi ipande ndege iende Ufaransa kutibiwa, sio Sinza.

Matt akasema chill.

Sasa katika kufix amevumbua madudu ya ajabu sana, mfano Airbag ya Bugatti ni samw Airbags za Audi A3, ambayo inauzwa $50-100 max, ila wao wanauza $1,500.
View attachment 3577947
Kuna part ya Kitasa wanauza $2,000+ ila ni same part number na VW moja ambayo wao wanauza offcial $30 hivi.
View attachment 3577948
Kuna parking sensors za VW na Audi official ni $20-30 ila Bugatti ni $500 each.
View attachment 3577949
Kuna watu mnaweza msinielewe. Sio kwamba zinaingiliana, NO. Ni same same same same kitu. Same part number. Same anufacturer. Same kila kituuuuu.

Hadi sasa Bugatti ipo stage nzuri. Baadhi ya parts ame 3D print, kwenye comment makampuni mengi sana ya 3D printing wanamsaidia kumwambia tutakufanyia this or this kwa bei hii.

Kama haitoshi, juzi juzi amenunua Bugatti Veyron kwaajili ya project.
View attachment 3577952
Ndio fist time Bugatti inefanyiwa repair kubwa hivi nje ya shops zao.

Bugatti wametishia kum-sue ila hana muda nao.
duh! yan iyo bei ya kitasa unachukua corolla moja saaafi!
 
Back
Top Bottom