Sehemu ya Door Lock ya Bugatti inauzwa $2,000+, ila ni same part iliotumika kwenye Volkswagen ambayo wanauza $40!

Kama unaweza nunua buggat kwa 6 milioni USD. Kununua kitasa kwa dola 2000 sio shida zako. Hizo gari nasikia service ni zaidi ya dola 10k...

Kuna pipo zinaendesha status sio gari tu.
 
Sio magari tu ila kuna utapeli mkubwa sana kwenye hizi brand kubwa duniani. Tena ni aina ya utapeli ambao umehalarishwa ili watu kupiga pesa
 
Sijaona cha Ajabu hapo mkuu. Ni sawa na Soda kuuzwa sh 600 dukan kwa mangi then ukienda serena hotel soda hiyohiyo inauzwa sh 5000.
 
Ndo maana uwa na kuwa makini na vitu vilivyo overprice
 
Wenye mpango wa kununua Vitz na IST mwakani tuunde kikundi chetu tucheze mchezo tu. Maana huu uzi hautufai
 
Kuna mabinti kwa sababu ya umaarufu wao wanauza vipapatio kwa mamilioni, wakati uswazi unaweza ukapewa bure.

Branding matters
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…