Sehemu ya II: Jamhuri vs JamiiForums kuhusu Oilcom na Uchakachuaji mafuta/Ukwepaji Kodi bandarini Dar

Sisi ni watu wa Mitaani (laymen). Nionanavyo mimi naishauri Serikali iondoe hii kesi Mahakamani. Mbona Shahidi anababaika mara sijui mara siyo mimi niliyoiandika hiyo barua etc.
Inawezekana naye anaipenda jamiiforum sema majukumi ya kazi tu ndio maana anaamua kujibu analoweza na asiloweza analiacha kumoyoni anasema shauri yao
 
Kesi ni kitu kingine usipokuwa makini unawezakunyimwa haki yako hadharani huku unaona.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…