Sehemu ya kuanikia nguo huwa inasahaulika katika ramani na ujenzi wa nyumba

Ukiwa na eneo kubwa ni rahisi kutenga eneo kwa kazi hiyo
 
Ulaya nguo hazianikwi nje ila kuna mashine za kufua na kukamua😅 zikitoka hapo zinakula pasi! Huwez kuta watu wameanika nguo nje ila kwa sisi wazee wa mapokeo tumeiga ramani zile zile bila kujua tunahitaji mazingira yakuanika nguo
Wapo wanaoanika hasa majira ya summer
 
Ata sehemu ya kuhifadhi/kutupa taka, kuna ndugu yangu kaweka bonge la garden kuzunguka nyumba ila taka zinamtesa
Ukiwa na kiwanja kikubwa unaweza kuchimba shimo refu kama la choo, unazungusha mabati na kuweka mlango ili watoto wasilifikie. Likijaa unafukia.
 
Ila tukumbuke nguo za ndani si busara kuanika hadharani.
Tabia siipendi hiyo.Huwa nakereka kuona mtu kaanika mikwega yake hadharani.Halafu mingine imetoboka au kuchakaa katikati.Mara nyingine lastic imeachana na pindo la kiunoni.Shida tupu.
 
Mimi nimezingatia hilo dada.. Takutumia picha uone
 

Like the school nilisoma
 
Mleta tunaomba picha ya Laundry, na hizo sehemu za kunyooshea na kufulia...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…