Sehemu ya kufanya field

Anaeweza kwenda Baker Tilly DGP & Co wapo vizuri sana atajifunza mambo mengi lakini pia Forvis Mazars ingawa hawa jamaa huwa wana bias sana nepotism za kihunihuni. Kuna sehemu zingine nzuri miongoni mwa Deloitte, KPMG, pamoja na PwC.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…