HahahhhhWe ni mbaguzi wa salamu... Khaaa!!
Nimeisubiria salamu yako mpaka nimekoma...
Ngoja nijipendekeze tu, maana hamna namna tena...
Heri ya mwaka mpya joanah
I only trust youHahahhhh
Tatizo kila nikikufata kule PM unanikaushia tu
Mwisho nikajua huu ni ubaguzi wa mbili mbali wacha niwape salamu ninaowaona katika threads
Heri ya mwaka mpya mkuu Asprin(nasubiri kuchuniwa na hapa[emoji28] )
I ONLY TRUST GOD
Hahahahaha.... ukichelewa ujue utakuta TRUST imeenda likizo...I ONLY TRUST GOD
sasa nakuja huko PM
HahhhahahhHahahahaha.... ukichelewa ujue utakuta TRUST imeenda likizo...
uchawi wa waremboUkitaka kuazima gari nitafute
TENA ANAMALIZIA MGEGEDOOooiii bado hajafika.! Wanapenda Korean movies sana mpeleke gheto ndo penye uhuru
SAMAHANI HIYO LAKI TANPO INAISHA AU CHENJI INABAKI ZAIDI YA LAKI TATU...!?🙂Mkuu andaa kama laki tano mpeleke lamada kule mbezi beach hutajutia uamuzi wako kuazia breakfast mta swim then mnapiga lunch mpaka saa tisa hivi utakua umeishamtafuna
Hiyo kama usd 200 na kaushee tu pesa ndogo sanaSAMAHANI HIYO LAKI TANPO INAISHA AU CHENJI INABAKI ZAIDI YA LAKI TATU...!?🙂
[emoji85][emoji85][emoji85]....tumekaribia heri ya wapendanao ujueeeeHeri ya mwaka mpya mkuu
Cku ukienda nialike iwe Ijumaa au jmosHyatt
UKIMWI unanyofoa kucha?Nendeni mabwepande mkanyofolewe kucha na Ukimwi
Nitakualika mkuu. Ila mara nyingi naendaga 777 na Seacliff.Cku ukienda nialike iwe Ijumaa au jmos
Hahahahhaa... Kawe mzimuni ndo iko karibu na wapi mkuu? Nakaa Kawe ila sijawahi kusikia hilo eneo.Fika Kawe maeneo ya Mnyamani waulize wenyeji wakuoneshe mitaa ya Kawe mzimuni wallahi Hutajuta||