Sehemu ya kujiachia Dar es Salaam

Sehemu ya kujiachia Dar es Salaam

We ni mbaguzi wa salamu... Khaaa!!

Nimeisubiria salamu yako mpaka nimekoma...

Ngoja nijipendekeze tu, maana hamna namna tena...

Heri ya mwaka mpya joanah
Hahahhhh
Tatizo kila nikikufata kule PM unanikaushia tu
Mwisho nikajua huu ni ubaguzi wa mbili mbali wacha niwape salamu ninaowaona katika threads

Heri ya mwaka mpya mkuu Asprin(nasubiri kuchuniwa na hapa[emoji28] )
 
I only trust you
Yes you
You and only you joanah 🙄

Hebu njoo PM kisiriaz sasa....
 
Mkuu andaa kama laki tano mpeleke lamada kule mbezi beach hutajutia uamuzi wako kuazia breakfast mta swim then mnapiga lunch mpaka saa tisa hivi utakua umeishamtafuna
SAMAHANI HIYO LAKI TANPO INAISHA AU CHENJI INABAKI ZAIDI YA LAKI TATU...!?🙂
 
777 naijua ya Arusha, Sea cliff kwa nje tu but ctasita kuja ukinipa mwaliko
 
Back
Top Bottom