Sehemu ya kujiachia Dar es Salaam

Mkuu nicheki ntakuachia geto kutwa nzima kwa bei mbuzi gheto langu ni hadhi ya nyota tano, kwa nje kuna kibanda cha mangi atakuhudumia vinywaji na mahitaji mengine.
 



Ishu ndogo sana hiyo....chukua bajaji uzunguke nayo mjini au vichochoroni huku ukiwa unachapa kininja.....kumbuka, it's cheap na demu atakuheshimu kupundukia kuwa uko romantic na most daring ku du naye barabarani tena ndani ya bajaji. Kumbuka, unacho ona wewe cha maana au cha ustaarabu kwa mwanamke ni ujinga....so do vice versa.
 
Magomeni kwa macheni maana apo ndio hautatumbuliwa ukienda izo nyengine hawakawii kukutumbua
 
Kwa hiyo hizo gharama ni kwa siku hiyo hiyo tu au ndiyo yatakuwa maisha yenu kila siku?. Jikubali kama amekubali umtoe out mpeleke sehemu ambayo haitakuumiza. Usimfikirie mtu kwa mwonekano wa nje
 
Vingunguti kwenye mabuyu vitafunwa miguu Na vichwa vya Kuku utaonekana mgumu Wa karne kwa usawa utakula[emoji109] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
mkuu kuwa rahisi tu na uwe real kama kweli unamtaka huyo mwanamke,wanawake smart kichwani na wazuri hawataki wanaume fake,haya sasa hata viwanja tu hadi uulize JF,hivi ukimwona demu wangu wewe si utataka umpeleke mbinguni?umenisikitisha sana mwanaume kuwa dhaifu hivyo mbele ya mwanamke...be you man!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…