Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu,
Kuna girl huwa namtongoza kwa njia ya simu lakini amekua haingii kingi. Sasa leo amekubali nimtoe out but yupo off Alhamisi, kwangu mimi naona yupo classic sana.
Ombi langu nataka nielekezwe sehemu nzuri apa Dar ambayo nitatoka nae kuanzia asubui mpaka jioni bila kuboreka.
Nataka sehemu ambayo itakua fresh kwa mimi kushusha nondo zangu, yani mazingira tu yanipe ushindi wa 3-0 kabla ya sound.
N.B
Siku ni Alhamisi, mkinitajia na gharama itakua poa.