Sehemu ya kupumzika Mto wa Mbu Arusha

Sehemu ya kupumzika Mto wa Mbu Arusha

Smith Rowe

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2018
Posts
4,319
Reaction score
9,003
Kwema wadau,

Nimepata safari mkoani Arusha sehemu inaitwa mto wa mbu, Wajuvi/zi nipeni sehemu za kupumzika usiku nikiwa na balimi moja mbili na sehemu nitapata demu wa kupoozea uchovu wa kazi ninayofanya.
 
Wasiliana na hawa jamaa chini hapo waliwahi kunisaidia kupata sehemu nzuri ya kupumzika nilipoenda Mtwara...

 
Mtowambu ipo monduli Arusha.huyo anayesema ipo manyara kadanganya.
 
Mto wa mbu ni mkoa wa Manyara mkuu siyo Arusha.

Wasiliana na hawa jamaa chini hapo waliwahi kunisaidia kupata sehemu nzuri ya kupumzika nilipoenda Mtwara...




Mto wa Mbu ipo Mkoa wa Arusha... Wilaya ya Monduli
 
utapata UKIMWI, duu, watoto wa kimbulu wazuri kama waarabu wanajiuza balaa, tena sasa ivi watu wa tours hawapo watakugombania kama mpira wa kona
 
Back
Top Bottom