Sehemu ya kupumzika Mto wa Mbu Arusha

Sehemu ya kupumzika Mto wa Mbu Arusha

Kwema wadau,

Nimepata safari mkoani Arusha sehemu inaitwa mto wa mbu, Wajuvi/zi nipeni sehemu za kupumzika usiku nikiwa na balimi moja mbili na sehemu nitapata demu wa kupoozea uchovu wa kazi.
Kuna mahali panaitwa Fanaka. Ni poa sana.

Jina kamili la mahali hapo ni Fanaka Safari Campsite and Lodge. Kuna vyumba vya lodge, mahali pa camping kama unataka (unaweza kwenda na camping equipment zako au wakakukodishia zao), unaweza kula kwenye restaurant au ukajipikia mwenyewe (wanakupa jiko la gas na vyombo vya kupikia); wanaandaa safari tours kwa mbunga nyingi; malipo yanaweza kuwa kwa siku au kwa package za siku 3, wiki moja, hata mwezi mzima.
 
Ndio.Lakini siyo kila sehemu kumechangamka saaana
Ulishafika mto wa mbu ukakaa au unapitaga tu.... Maana usingedoubt uwepo wa mademu pale kuna malaya wazuri kuliko town
 
nipe uzoefu boss na connection kabisa na chocho za hao mademu
 
Nimeanza kuona matunda japo wana walinibania connection
 
Kuna mahali panaitwa Fanaka. Ni poa sana.

Jina kamili la mahali hapo ni Fanaka Safari Campsite and Lodge. Kuna vyumba vya lodge, mahali pa camping kama unataka (unaweza kwenda na camping equipment zako au wakakukodishia zao), unaweza kula kwenye restaurant au ukajipikia mwenyewe (wanakupa jiko la gas na vyombo vya kupikia); wanaandaa safari tours kwa mbunga nyingi; malipo yanaweza kuwa kwa siku au kwa package za siku 3, wiki moja, hata mwezi mzima.
Msalimie Mzee Gaucho owner
 
Back
Top Bottom