Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 4,319
- 9,003
- Thread starter
- #21
Si mji wa watalii uleHuko ni nje ya mji vibaya mno.Na hivi viumbe hupendelea zaidi maeneo ya mjini.Japo kua na subira,unaweza kusaidika
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mji wa watalii uleHuko ni nje ya mji vibaya mno.Na hivi viumbe hupendelea zaidi maeneo ya mjini.Japo kua na subira,unaweza kusaidika
Ndio.Lakini siyo kila sehemu kumechangamka saaana
Ngoja nikashuhudieNdio.Lakini siyo kila sehemu kumechangamka saaana
Lodge laki 8?Ni mji mkubwa tu tena wa kitalii ukichukua tax utamueleza unataka lodge ya aina gani kama mfuko umetumia nenda sopa lodge nadhani ni kwenye laki nane hivi
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mahali panaitwa Fanaka. Ni poa sana.Kwema wadau,
Nimepata safari mkoani Arusha sehemu inaitwa mto wa mbu, Wajuvi/zi nipeni sehemu za kupumzika usiku nikiwa na balimi moja mbili na sehemu nitapata demu wa kupoozea uchovu wa kazi.
Kivipi mkuu? tupe uzoefu.Hii sehemu ya ajabu sana na inatisha
Ulishafika mto wa mbu ukakaa au unapitaga tu.... Maana usingedoubt uwepo wa mademu pale kuna malaya wazuri kuliko townNdio.Lakini siyo kila sehemu kumechangamka saaana
Subiri uzoee kidogo ujue connection za madem wa hapo kama utaondoka...Hii sehemu ya ajabu sana na inatisha
nipe uzoefu boss na connection kabisa na chocho za hao mademuUlishafika mto wa mbu ukakaa au unapitaga tu.... Maana usingedoubt uwepo wa mademu pale kuna malaya wazuri kuliko town
Sawa sawa nisaidie hizo connectionSubiri uzoee kidogo ujue connection za madem wa hapo kama utaondoka...
Subiri uzoee kidogo ujue connection za madem wa hapo kama utaondoka hapoHii sehemu ya ajabu sana na inatisha
Demarcation ya Arusha na Manyara watu wengi hawaielewi bado kwa sabab watu ni wale wale culture and norms the real don't bother political settingsSio kweli kwamba mto wa Mbu ipo mkoa wa Manyara
Bali mto wa Mbu ni Kata iliyopo wilayani Monduli, ndani ya Mkoa wa Arusha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ulipata?Nimeanza kuona matunda japo wana walinibania connection
Msalimie Mzee Gaucho ownerKuna mahali panaitwa Fanaka. Ni poa sana.
Jina kamili la mahali hapo ni Fanaka Safari Campsite and Lodge. Kuna vyumba vya lodge, mahali pa camping kama unataka (unaweza kwenda na camping equipment zako au wakakukodishia zao), unaweza kula kwenye restaurant au ukajipikia mwenyewe (wanakupa jiko la gas na vyombo vya kupikia); wanaandaa safari tours kwa mbunga nyingi; malipo yanaweza kuwa kwa siku au kwa package za siku 3, wiki moja, hata mwezi mzima.