A
Anonymous
Guest
Abiria tunaotumia vivuko tunapata shida sana wakati wa kusubiri Kivuko kwenye lounge kutokana na joto kali linalotokana na msongamano wa watu.
Nashauri waweke hata feni maana watu wanajazana sana na joto kali, feni zilizopo hazifanyi kazi, sijui hata pesa zinazopatikana zinafanyiwa nini!
Pia soma:
- TEMESA imeshindwa kutoa huduma ya kivuko Magogoni, Serikali ilete mwekezaji
- Bashungwa atoa miezi miwili TEMESA kufanya Mageuzi
- Waziri wa Ujenzi awaondoa Watendaji wa TEMESA Kivukoni Dar kwa kushindwa kutekeleza majukumu yao
- CAG Ripoti 22/23: TEMESA inailipa Kampuni ya AZAM Tsh. Milioni 5 kila siku kuendesha Vivuko
- Bashungwa azikutanisha TEMESA na Azam Marine uboreshaji Huduma za Vivuko
- Huduma za Vivuko Kigamboni janga linaloenda kusababisha maafa nchini
- Waziri Bashungwa: Upotoshaji wa vivuko Kigamboni una maslahi binafsi