Sehemu ya kuupload cheti cha kuzaliwa kwenye uhakiki wa cheti haionekani

Sehemu ya kuupload cheti cha kuzaliwa kwenye uhakiki wa cheti haionekani

Think2

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2025
Posts
3,087
Reaction score
6,024
Mdogo wananisumbua sana wameomba kufanya uhakiki wa cheti cha kuzaliwa lakini option ya kuupload cheti haipo, msaada wakuu
 
Hakuna sehemu ya ku upload cheti acha uzamwamwa kindole wewe.

Weka entry namba
 
Weka namba ya cheti cha zamani, hatua za mbele itakutaka kuapload cheti cha zamani ila ukicompres kiwe na mb chache
 
Back
Top Bottom