juice ya tende
Member
- Jan 19, 2020
- 58
- 171
Nipo maeneo ya soweto naona Moto mkali sana hapa, huko hali itakua mbaya zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Third world countries zinanunua magari ya maji sio ya kuzima Moto Bali ya kuwamwagia maji washa washa raia ambao ni walipakodi Tena wasio na hatia.Habari mbaya hii!
Sijui tuna zana na vifaa vya kutosha kukubaliana na huo moto hasa kama ni mkubwa!
Hadi kesho Soweto imeungua nayo.Nipo maeneo ya soweto naona Moto mkali sana hapa, huko hali itakua mbaya zaidi
Safi sana. Asanteni serikali tukufu ya awamu ya 5 kwa huu moto bila juhudi za ccm na serikali ya awamu ya 5 tusingepata huu moto.
Ila sasa sehemu nyingi milima inaunguaa
Sitafanya makosa mkuu mambo sio marahisiTareh 28 fanya maamuzi sahihi uchumi ulegee kidogo ununue hata kifurushi
Huyu unayefikiria kumpa Kura yako hana hata mawazo ya huo mlima, yeye anawaza madini na kutetea faragha ya chumbani haijalishi ni jinsia moja au vinginevyo, haya mengine ni kuwarubuni mumpe kura basiUpepo mkali ukisaidiwa na wale wanaochoma moto misitu hayo ndio matokeo yake.
Serikali ya CCM imeshindwa kushusha bei ya gesi, matokeo yake ndio haya, CCM must go.
Bangi hizi....usivute ukiwa na njaaSafi sana. Asanteni serikali tukufu ya awamu ya 5 kwa huu moto bila juhudi za ccm na serikali ya awamu ya 5 tusingepata huu moto.