Sehemu ya Ulengaji Shabaha ya Kigamboni ipo sehemu gani?

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
2,428
Reaction score
3,937
Kuna jamaa yangu anaulizia sehemu ya kujifunzia au kufanyia mazoezi ulengaji shabaha. Nafikiri niliwahi kusikia ipo Kigamboni.

Msaada kwenye tuta.
 
Kuna pweza pale kigamboni unalenga chupa ...Risasi kumi kwa elfu tatu au nne ndo napahafamu ila naona sehemu kibao wanafanya imekuwa dili ni starehe pia.
 
nilitaka nikalenge ila waliniudhi jamani, beach ina kiingilio unawapa ef 5 halafu alfu mbili ndio unachuku kitu chochote huko ndani nayo inakidhi maji ya dasani madogo [emoji1787] hamna kitu sikipendi kama maeneo wanayojifanya wana viingilio.. mtu mpaka ametoka kwake inamaana anataka kuspend sasa viingilio vya nini? halafu bei zao utasema Hotel ya nyota 5 kumbe utopolo...

anyway , niko nje ya mada ila kama anataka kulenga ndio aende pale
 
Ile sehemu imekaa open unaweza kuingia kutokea baharini labda ukose kiti🤣🤣🤣
 
Hapana toy zile Zina nguvu sema yaani kama vitumba tu ...kwa pale ni vitumba fulani tu..

Ila Kuna zile za kama vitumba vya kupasuka vikipiga sehemu vinaacha kama rangi zile watu wanalengana kabisa na Kuna mavazi wanavaa.
Asante kwa kunielewesha, nilishakutana navyo chimbo moja lipo zinga kunaitwa hide away resort.
 
Kuna pweza pale kigamboni unalenga chupa ...Risasi kumi kwa elfu tatu au nne ndo napahafamu ila naona sehemu kibao wanafanya imekuwa dili ni starehe pia.
Labda anauliza shooting range sio hizo za fake gun
 
Nafikiri anataka shooting range za kutumia silaha za kweli kama hizo sehemu zipo
Shooting Range sijawahi kusikia zipo wapi lakini nina hakika akienda Tanganyika Arms watamuelekeza sababu hawa ndio wauza Guns maharufu hapa Tanzania
 
Ile sehemu umekaa open unaweza kuingia kutokea baharini labda ukose kiti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
we bwana wee usinikumbushe [emoji3] nikachukua maji ya dasani kwa hasira, nikatokea beach wakanipiga muhuri manake kwa nje pale niliona watu wamekaa wengi natoka tu kwa pembeni naona watu wanapita wanatokea road kuja maeneo yake free kabisa [emoji23][emoji23] kama kuna siku nilichukia ni ile
 
Kuna jamaa yangu anaulizia sehemu ya kujifunzia au kufanyia mazoezi ulengaji shabaha. Nafikiri niliwahi kusikia ipo Kigamboni.

Msaada kwenye tuta.
Hao hao waliompa kibali cha kununua silaha wanajua sehemu za kuweza kufanyia hiyo shughuli. Hata kufundisha wanaweza kufanya hiyo kazi.
 
Hapana toy zile Zina nguvu sema yaani kama vitumba tu ...kwa pale ni vitumba fulani tu..

Ila Kuna zile za kama vitumba vya kupasuka vikipiga sehemu vinaacha kama rangi zile watu wanalengana kabisa na Kuna mavazi wanavaa.
Kama ni hizo hata daressalam zoo wanafanya hii
 
Back
Top Bottom