Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Zile sio rahisi .Hizo Sawa Sawa
Lakini Risasi Za Moto Hawezi Ruhusiwa Hapo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zile sio rahisi .Hizo Sawa Sawa
Lakini Risasi Za Moto Hawezi Ruhusiwa Hapo
Hapo sawa !!zile Kuna special trainers na zile miwani zao sana sana wanafanyia mbali na makazi ya watu..ukienda maporini huko kigoma na Arusha ndo wanapenda kuchukua sana mazoezi wanajeshi.Labda anauliza shooting range sio hizo za fake gun
Ukienda siku ambazo si weekend amna kiingilio,nilitaka nikalenge ila waliniudhi jamani, beach ina kiingilio unawapa ef 5 halafu alfu mbili ndio unachuku kitu chochote huko ndani nayo inakidhi maji ya dasani madogo [emoji1787] hamna kitu sikipendi kama maeneo wanayojifanya wana viingilio.. mtu mpaka ametoka kwake inamaana anataka kuspend sasa viingilio vya nini? halafu bei zao utasema Hotel ya nyota 5 kumbe utopolo...
anyway , niko nje ya mada ila kama anataka kulenga ndio aende pale
yani ile siku jamani nilichukia [emoji23] aah hata nilieenda nae alinikuta niko kivukoni yani aah hapana halafu yeye alikua anachukulia poa mimi nilikua disappointed mno mnooUkienda siku ambazo si weekend amna kiingilio,
Kiingilio ni siku za weekends na public holidays, nikiwa free huwa naenda pale kujifunza shabahaa, risasi moja 300.
Kwaiyo 9,000 unapata Risasi zako 30 safii
Dar es Salaam zoo wanalenga, nishasahau elfu 5 unapata vigoroli vingapi.Ndo izo