naomba kazi
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 253
- 213
Mkuu, kwangu hicho ni chakula kizuri sana. Na nimeeleza wazi kwamba kwa huko Daslam, hakuna ninapo pafahamu.Kuwa serious mkuu, usidhani kila mmoja amemaliza kufanya paper za form four jana
Alimaliza hela ya matumizi ikabidi ajiongeze kwa mama ntilie mtaani ndio kuna jamaa yake akajiunga nae lakini huyo jamaa yake tumbo lake halikuzoea vyakula vya uswazi ndio tumbo likamvuruga..Aliyemwelewa huyu jamaa anieleweshe
wazee wa viwanja mkuje hapa.....
Wakati nasoma kuna kipnd nikafumua hela yote ya matumizi, katka ku survive nikagundua chimbo moja kule keko ndani ndani hukoo,
unapata ugali na mbg km tano hv kwa tsh 300,
jamaa yng akaona nafaidi sana akaniiga tulimbeba kwenye torori....
Huko tumboni ukisogeza sikio n kama yale ma gari ya kuchanganyia zege.....
Njia ya chumbn to toilet iligeuka mandela road.
Pole kwa kupata majibu ya ajabu, kuna dada anapika maeneo ya sinza Mori, ulizia open kitchen, msafi sana. Chakula chake ni 12000
Aliyemwelewa huyu jamaa anieleweshe
Open kitchen sinza
Makumbusho pale stand Kuna mgahawa ..wanachakula kitamu na kizuri..kuku zao Sasa[emoji39][emoji39]
wazee wa viwanja mkuje hapa.....
Wakati nasoma kuna kipnd nikafumua hela yote ya matumizi, katka ku survive nikagundua chimbo moja kule keko ndani ndani hukoo,
unapata ugali na mbg km tano hv kwa tsh 300,
jamaa yng akaona nafaidi sana akaniiga tulimbeba kwenye torori....
Huko tumboni ukisogeza sikio n kama yale ma gari ya kuchanganyia zege.....
Njia ya chumbn to toilet iligeuka mandela road.
Alafu panabana Sana..Sema hapo makumbusho full kelele...!
Miss youInformation ipo kiganjani mwako, wakati mwingine mnapenda kujiudhi bure.
wana juice nzuri sana pia,Open Kitchen, Sinza.
Makumbusho pale stand kuna mgahawa, wana chakula kitamu na kizuri, kuku zao sasa[emoji39][emoji39]