Sehemu yenye chakula kizuri na mandhari nzuri Dar es Salaam

Sehemu yenye chakula kizuri na mandhari nzuri Dar es Salaam

Nenda Rose garden Mikocheni pana chakula kizuri
Habarini wana ndugu,

Nataka kujua eneo/ sehemu nzuri ya kula chakula (inayopika chakula kizuri) na kwenye mandhali nzuri iliyotulia.

Ningependelea zaidi maeneo hayo yawe kuanzia Mwenge kuelekea Makumbusho au Mwenge kuelekea Ubungo,

Naomba mwenye kujua anijuze wakuu.

Natanguliza shukrani zangu za dhati kabisa.

Asanteni
 
Open kitchen, Tena kwa wewe mpambanaji huyu atakufaa sana, hataki ujinga kwenye swala la hela na kuchakarika😅😅😅😅
Nimepitia page yake... Vyakula vya kawaida sana, Bei kuuubwa. Bora nitafute pengine tu.
 
Back
Top Bottom