Sehemu za Masaji zanzibar

Sehemu za Masaji zanzibar

smar-boy

Member
Joined
Sep 12, 2017
Posts
11
Reaction score
1
Wakuu Habari zenu... Niko zanzibar.. Naomba Kujuzwa wap Wanafanya Masaji.. Au mweny Namba ya mtu a naye Fanya private Masaji anitumie inbox... Na bei zao zikoje?
Niko serious wakuu kazi nazofanya ni ngumu.. Kwang Masaji muhimu
 
Zanzibar kubwa wewe. uko sehemu gani ili uelekezwe vizuri.
Pia fafanua unahitaji masaji profesional au ile yenye happy ending
 
Nenda kwa kiringo mkuu pale michenzani we muulizie tu atapigiwa simu atakuonyesha!
 
Nenda Mazson hotel. Kabla hujaingia ndani ya hotel, upande wa kulia kuna sehemu ya massage. Ukitaka pale au akufanyie kwako ni wewe tu. Ni muda mrefu lakini sijui kama bado wapo.
 
Nenda maeneo ya Kwerekwe au kwa Mchina Magomeni kwenye zile Salon utawapata tu
 
mi nadhani kwa Zanzibar kama una rafiki yako anafamya kazi kwenye Hoteli za kitalii ongea nae akuunganishe na wadada wa massage kule wapo kibao na wengi wanaishi town
 
Back
Top Bottom