dokolombwike
JF-Expert Member
- Oct 18, 2012
- 373
- 616
Asante mkuuFungus hao
Jitahidi umuone mtoa huduma, usaidike zaidiAsante mkuu
PamojaJitahidi umuone mtoa huduma, usaidike zaidi
Hiyo fungusi mkuu,huwa unajifuta na kujikausha vizuri na tauro na kupaka mafuta au uwa hujikaushi unatupia tu boxer?Mwenye uelewa au ambaye ashawahi kupatwa na hii hali naomba anisaidie, korodani na mapaja yamekuwa yanababuka pamoja na kutoa kijiharufu flani ambacho sikielewi wakuu,cha ajabu hata ukioga,hii hali huanza kujitokeza baada ya masaa kama matatu baada ya kuoga,au ndo fangasi hii wakuu,
Ebu weka picha tukusaidie mkuuMwenye uelewa au ambaye ashawahi kupatwa na hii hali naomba anisaidie, korodani na mapaja yamekuwa yanababuka pamoja na kutoa kijiharufu flani ambacho sikielewi wakuu,cha ajabu hata ukioga,hii hali huanza kujitokeza baada ya masaa kama matatu baada ya kuoga,au ndo fangasi hii wakuu,
Asante mkuuFungus , wahi tiba na epuka kukaa na unyevu huko chini.
ThanxFungus , wahi tiba na epuka kukaa na unyevu huko chini.
Toa auau ndo fangasi hii wakuu,
Daaah mkuu kweli we ni DrNenda famasi
Nunua dawa inaitwa Griseofulvin ni vidonge nahisi kwa famasi dozi yote ya siku 30 haizidi elfu kumi.
Wakat huo huo ununue na dawa ya kupaka inaitwa Clotrimazole .
Matumizi.
Kwa kua Fangasi zako sijajua hali yake ilivo, basi meza Kidonge 1 kila siku kwa siku 30.
Au kama zinakutoa ngozi sana, kunywa kidonge 1 kila baada ya masaa 12 yaan ndan ya masaa 24 unapiga 2 kwa kumeza kimoja kimoja kwa muachano wa masaa 12 .
Mfano.. Asubuu ya saa 2 kimoja... Usiku wa saa 2 kimoja
Wakat huohuo unanyoa mavuzi kwenye mapumbu kisha unapakaa dawa ya Clotri.. Asubuh na jioni.
Nb... Hakikisha una boksa za kutosha, yaan unapopakaa dawa, jion pakaa na badili boksa.
Hakikisha unafuta mapumbu vzuri , yanakauka ndo unapakaa.
Picha tafadhaliMwenye uelewa au ambaye ashawahi kupatwa na hii hali naomba anisaidie, korodani na mapaja yamekuwa yanababuka pamoja na kutoa kijiharufu flani ambacho sikielewi wakuu,cha ajabu hata ukioga,hii hali huanza kujitokeza baada ya masaa kama matatu baada ya kuoga,au ndo fangasi hii wakuu,