Nenda famasi
Nunua dawa inaitwa Griseofulvin ni vidonge nahisi kwa famasi dozi yote ya siku 30 haizidi elfu kumi.
Wakat huo huo ununue na dawa ya kupaka inaitwa Clotrimazole .
Matumizi.
Kwa kua Fangasi zako sijajua hali yake ilivo, basi meza Kidonge 1 kila siku kwa siku 30.
Au kama zinakutoa ngozi sana, kunywa kidonge 1 kila baada ya masaa 12 yaan ndan ya masaa 24 unapiga 2 kwa kumeza kimoja kimoja kwa muachano wa masaa 12 .
Mfano.. Asubuu ya saa 2 kimoja... Usiku wa saa 2 kimoja
Wakat huohuo unanyoa mavuzi kwenye mapumbu kisha unapakaa dawa ya Clotri.. Asubuh na jioni.
Nb... Hakikisha una boksa za kutosha, yaan unapopakaa dawa, jion pakaa na badili boksa.
Hakikisha unafuta mapumbu vzuri , yanakauka ndo unapakaa.