Sehemu za starehe kupiga picha ovyo nusu iharibu mahusiano yangu.

Sehemu za starehe kupiga picha ovyo nusu iharibu mahusiano yangu.

Selemani Sele

JF-Expert Member
Joined
Feb 25, 2023
Posts
319
Reaction score
711
Naam , it is a good day to stay alive.

Kama kichwa cha habari kisemavyo,

Kuna katabia fulani hivi page za insta esp clubs na big bars wanapiga picha na video za wateja bila hata kumshirikisha mteja .

So by the time it was christmas 2023 my crush alitaka kwenda outing na mm na waubani wangu alikuwa kwa Mama ake anadeka nikasema ngoja twende Jangwani sea breeze tukawa twacheza mziki, huwezi amini next morning napigiwa simu saa 12 asubuhi eti ulikuwa wapi nikasema nilikuwa home nikaambiwa muongo nikatumiwa picha nipo jangwani nambambia crush nilikosa kujitetea nikaongea nae kiutu uzima nikasema mziki tu usiogope, nikasamehewa.

Later by night, nikaenda kitambaa cheupe na crush, believe it or not nilipigiwa simu saa saba usiku uko wapi, kumbe wameshapost video, aisee wiki nzima nilibembeleza ila nilisamehewa.

Ipo siku watafungulia kesi hizi big bars

Nani mwengine mwenye experience na hizi big bars instagram posts.
 
Wewe unaenda kitumbua cheupe ?
Anyway kupost picha za mtu bila ridhaa ni kosa kisheria ipo siku watawashiwa moto.
 
Mwambie tu huenda hakuna mtu mwingine wa kumuambia alafu ukawa umemuokoa mtu😀
Huyu acha nisimwambie ukweli maana anajisifu alimpeleka mke wake hadi mlangoni kwa mama yake.
 
Tupia namba ya "waubani" na sie tumtoe out sio unamshindisha mtoto wa watu ndani kama utumbo.
 
Back
Top Bottom