hoffman
JF-Expert Member
- Jul 21, 2011
- 309
- 477
habari wanajamii wezangu,
ninahitaji kujua ni sehemu gani wanauza mashine za kuranda mbao na ni kwa bei gani Jijiji Dar, uwezo wake na ipi ni bora zaid kwa kuanzia biashara hii!
matumizi yake ya umeme inahitaji 3 phase au hata huu wa kawaida, mwenye kujua zaidi kuhusu biashara hii naomba anijuze.