Seif foundation Lengo kuu ni kuenzi fikra za Hayati Maalim Seif... Vipi kuhusu kuenzi fikra za Magufuli?

Heater

Senior Member
Joined
May 28, 2019
Posts
168
Reaction score
350
Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)

Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..

Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr JPM... Vipi kuhusu mkakati wa kuzilinda Fikra zake, je WanaCCM, Watanzania, Wanaharakati, Wanasiasa, Wanazuoni, na wengineo wote hawajaona umuhimu wa kuzienzi fikra za JPM..
Je, ni vyema tukaziacha fikra zake pia ziendezake?

Au labda mm nimepitwa na Mpango ama mkakati huo wa kuenzi fikra za JPM itakuwa vyema nikataharifiwa na yeyote anaeujua...

Kwan Heshima aliyokuwa akipewa kila kona ya Nchi hii kipindi cha uhai wake hazikutokana na uhodari wa fikra zake ktk kuliongoza taifa hili??

Kama ni kweli fikra zake zilikua hodari ktk kutatua changamoto za taifa hili kwnn zisitafutiwe namna bora ya kuenziwa??
 
Hizi foundation zikianzishwa ni swala la familia kwanza. Hili sio swala la kiserikali. Watu wa familia na marafiki wa JPM ndiyo wanachagua nani aongoze hasa kama mhusika kafariki
 
Magufuli alikuwa ni Raisi wa bahati mbaya, na ni kwasababu ya CCM infighting, hana chochote zaidi ya kurudisha Ukabila na Chuki dhidi ya Watanzania wenye mtizamo tofauti.

Membe mwenyewe kayaanika kuwa alikuwa ni mwenye roho mbaya.

Bogus kabisa yule.
 
Hizi foundation zikianzishwa ni swala la familia kwanza. Hili sio swala la kiserikali. Watu wa familia na marafiki wa JPM ndiyo wanachagua nani aongoze hasa kama mhusika kafariki
hapo kwenye marafiki... nadhan huyu ndiye Raisi ambaye alionyesha kuwa na kundi kubwa la wafuasi akiwa kiongozi... unadhan wale wafuasi wake endapo wakitaka kuzienzi fikra za Hayati, watakosa nguvu ya kuishawishi familia... mm nadhan familia n lazima itatoa baraka tu
 
Nilikuwa na elimisha tu kwamba foundation inaanza na familia. Lakini ni kwa muda na jambo wanalotaka wenyewe mfano mkapa ilikuwa kwenye afya…. Foundation huwezi kufanya kwa ushabiki maana itakuwepo miaka mingi ijayo. Cha kujiuliza familia ni je angekuwepo angependa foundation ya nini hasa? Hili swali sijui kama wanalijua bado ndani ya familia. Binafsi wakienda kwenye afya maana Magufuli alipata tatizo la moyo akiwa mdogo sana.
 
Magufuli alikuwa ni Raisi wa bahati mbaya na ni kwasababu ya CCM infighting, hana chochote zaidi ya kurudisha Ukabila na Chuki dhidi ya Watanzania wenye mtizamo tofauti.

Membe mwenyewe kayaanika kuwa alikuwa ni mwenye roho mbaya.

Bogus kabisa yule.
Kumbuka alipewa ilisemekana kwamba kaletwa na Mungu kuliokoa Taifa letu..... Yaan mtu aliyeletwa kwa kazi maalumu duniani... tunashindwa kutambua fikra zake kwa kuzienzi ktk namna ya heshima na endelevu.
 
Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)

Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..

Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr JPM... Vipi kuhusu mkakati wa kuzilinda Fikra zake, je WanaCCM, Watanzania, Wanaharakati, Wanasiasa, Wanazuoni, na wengineo wote hawajaona umuhimu wa kuzienzi fikra za JPM..
Je, ni vyema tukaziacha fikra zake pia ziendezake?

Au labda mm nimepitwa na Mpango ama mkakati huo wa kuenzi fikra za JPM itakuwa vyema nikataharifiwa na yeyote anaeujua...

Kwan Heshima aliyokuwa akipewa kila kona ya Nchi hii kipindi cha uhai wake hazikutokana na uhodari wa fikra zake ktk kuliongoza taifa hili??

Kama ni kweli fikra zake zilikua hodari ktk kutatua changamoto za taifa hili kwnn zisitafutiwe namna bora ya kuenziwa??
Fikra? Sio kila mtu anajaliwa kuwa nazo. Wasiojaliwa huwa na sifa ya kupenda lugha chafu na matumizi ya ubabe na vitisho.
 
Nilikuwa na elimisha tu kwamba foundation inaanza na familia. Lakini ni kwa muda na jambo wanalotaka wenyewe mfano mkapa ilikuwa kwenye afya…. Foundation huwezi kufanya kwa ushabiki maana itakuwepo miaka mingi ijayo. Cha kujiuliza familia ni je angekuwepo angependa foundation ya nini hasa? Hili swali sijui kama wanalijua bado ndani ya familia. Binafsi wakienda kwenye afya maana Magufuli alipata tatizo la moyo akiwa mdogo sana.
nimekupata vizuri sana.... japo lengo langu kuu ni fikra zake ambazo zilipata heshima kubwa sana toka karibu kila kona ya Tanzania.... Foundation ya Maalim seif ilikua n kama mfano tu, lkn kuna njia nyingi za kuweza kuenzi fikra zake zikawa endelevu na kwa heshima.... mfano.. mwl Nyerere kuna Kigoda cha Mwl Nyerere... Lengo kuu ni kuenzi fikra za Mwl Nyerere, ambazo wenda zinaweza kuwa msaada kwa vizazi vijavyo wenda kwa kuboresha ama kuchukua kama zilivyo
 
Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)

Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..

Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr JPM... Vipi kuhusu mkakati wa kuzilinda Fikra zake, je WanaCCM, Watanzania, Wanaharakati, Wanasiasa, Wanazuoni, na wengineo wote hawajaona umuhimu wa kuzienzi fikra za JPM..
Je, ni vyema tukaziacha fikra zake pia ziendezake?

Au labda mm nimepitwa na Mpango ama mkakati huo wa kuenzi fikra za JPM itakuwa vyema nikataharifiwa na yeyote anaeujua...

Kwan Heshima aliyokuwa akipewa kila kona ya Nchi hii kipindi cha uhai wake hazikutokana na uhodari wa fikra zake ktk kuliongoza taifa hili??

Kama ni kweli fikra zake zilikua hodari ktk kutatua changamoto za taifa hili kwnn zisitafutiwe namna bora ya kuenziwa??
Fikra za kuifanya Zanzibar ijitenge?

Fikra za serikali tatu badala ya moja?

Hata Karume fikra zake nzuri za kuifanya Zanzibar kuwa nchi ya maziwa an asali zimetupiliwa mbali na uongozi uliofuata.

Majengo ya ghorofa pale michenzani yaliyojengwa kwa ajili ya Wazanzibari wasio na kipato cha kutosha sasa hivi yana kaliwa na wenye ukwasi ambao pia wanawakodisha wengine huku maskini wakiishi kwenye vijumba vya mbavu za mbwa huko miferejini nk
 
Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)

Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..

Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr JPM... Vipi kuhusu mkakati wa kuzilinda Fikra zake, je WanaCCM, Watanzania, Wanaharakati, Wanasiasa, Wanazuoni, na wengineo wote hawajaona umuhimu wa kuzienzi fikra za JPM..
Je, ni vyema tukaziacha fikra zake pia ziendezake?

Au labda mm nimepitwa na Mpango ama mkakati huo wa kuenzi fikra za JPM itakuwa vyema nikataharifiwa na yeyote anaeujua...

Kwan Heshima aliyokuwa akipewa kila kona ya Nchi hii kipindi cha uhai wake hazikutokana na uhodari wa fikra zake ktk kuliongoza taifa hili??

Kama ni kweli fikra zake zilikua hodari ktk kutatua changamoto za taifa hili kwnn zisitafutiwe namna bora ya kuenziwa??

kunatofauti kati ya uoga na heshima jpm alikuwa anaogopwa
 
Nilikuwa na elimisha tu kwamba foundation inaanza na familia. Lakini ni kwa muda na jambo wanalotaka wenyewe mfano mkapa ilikuwa kwenye afya…. Foundation huwezi kufanya kwa ushabiki maana itakuwepo miaka mingi ijayo. Cha kujiuliza familia ni je angekuwepo angependa foundation ya nini hasa? Hili swali sijui kama wanalijua bado ndani ya familia. Binafsi wakienda kwenye afya maana Magufuli alipata tatizo la moyo akiwa mdogo sana.
Kwa Magufuli tuanzishe Magufuli foundation for accountability.
 
Kujenga barabara, madaraja ana eapoti.
Hv kweli Magufuli awe na foundation? Itakuwa inapromote kitu gani sasa? Utumbuaji? Utekaji? Kulea viongozi madhalimu kama Sabaya, Makonda? Ubinyaji wa demokrasia au kitu gani?
 
Kumbuka alipewa ilisemekana kwamba kaletwa na Mungu kuliokoa Taifa letu..... Yaan mtu aliyeletwa kwa kazi maalumu duniani... tunashindwa kutambua fikra zake kwa kuzienzi ktk namna ya heshima na endelevu.
Kaiachia Nchi madeni ya kutisha,mkopo ya Biashara yenye riba kubwa na muda mfupi

Kuna watu mpaka leo wanashangaa usomi wake aliofundishwa kwa Kiingereza wakati yeye sentensi alikuwa azivunjavunja.

Ameumiza watu wengi bila sababu za msingi, akaleta na ukabila, na utawala wa kiimla wa kutembea na mabulungutu ya hela za kodi ya umma.
 
Kwa Magufuli tuanzishe Magufuli foundation for accountability.
I propose to be named as 'JPM Citizens empowerment, sovereignty wealth protection and accountability Foundation' which head office should be established in DODOMA and put in place supportive operating offices in Kigoma, Songwe,, Katavi, Njombe, Ruvuma, Mtwara, Tanga, Kilimajano, Arusha, Mara, Unguja, Pemba and Mwanza.

The foundation should be headed by Tanzanian mainland and Isles leaders to unify confidently encourage Pan Africanism sailing on hybrid Nyerere's and Karume's philosophy
 
Back
Top Bottom