Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Kumbuka alipewa ilisemekana kwamba kaletwa na Mungu kuliokoa Taifa letu..... Yaan mtu aliyeletwa kwa kazi maalumu duniani... tunashindwa kutambua fikra zake kwa kuzienzi ktk namna ya heshima na endelevu.
Duuh,kwahiyo ianzishwe magufuli foundation kwa sababu kuna seif foundation iko kwenye mchakato 🤣🤣🤣Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)
Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..
Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr JPM... Vipi kuhusu mkakati wa kuzilinda Fikra zake, je WanaCCM, Watanzania, Wanaharakati, Wanasiasa, Wanazuoni, na wengineo wote hawajaona umuhimu wa kuzienzi fikra za JPM..
Je, ni vyema tukaziacha fikra zake pia ziendezake?
Au labda mm nimepitwa na Mpango ama mkakati huo wa kuenzi fikra za JPM itakuwa vyema nikataharifiwa na yeyote anaeujua...
Kwan Heshima aliyokuwa akipewa kila kona ya Nchi hii kipindi cha uhai wake hazikutokana na uhodari wa fikra zake ktk kuliongoza taifa hili??
Kama ni kweli fikra zake zilikua hodari ktk kutatua changamoto za taifa hili kwnn zisitafutiwe namna bora ya kuenziwa??
Fikra za JPM zilikuwa zipi?
Badala ya kuongelea Benjamini mkapa unaongelea lile liuaji. Limeacha mauji tu namateso kwa wapinzani na akina membe tu.Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)
Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..
Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr JPM... Vipi kuhusu mkakati wa kuzilinda Fikra zake, je WanaCCM, Watanzania, Wanaharakati, Wanasiasa, Wanazuoni, na wengineo wote hawajaona umuhimu wa kuzienzi fikra za JPM..
Je, ni vyema tukaziacha fikra zake pia ziendezake?
Au labda mm nimepitwa na Mpango ama mkakati huo wa kuenzi fikra za JPM itakuwa vyema nikataharifiwa na yeyote anaeujua...
Kwan Heshima aliyokuwa akipewa kila kona ya Nchi hii kipindi cha uhai wake hazikutokana na uhodari wa fikra zake ktk kuliongoza taifa hili??
Kama ni kweli fikra zake zilikua hodari ktk kutatua changamoto za taifa hili kwnn zisitafutiwe namna bora ya kuenziwa??
Airport kama ile ya Chato?Kujenga barabara, madaraja ana eapoti.
Ba
Badala ya kuongelea Benjamini mkapa unaongelea lile liuaji. Limeacha mauji tu namateso kwa wapinzani na akina membe tu.
Airport kama ile ya Chato?
Nami nilikuwa najiuliza hapa huyo kiongozi wa awamu ya 5 aenziwe kwa lipi haswa?Magufuli alikuwa ni Raisi wa bahati mbaya, na ni kwasababu ya CCM infighting, hana chochote zaidi ya kurudisha Ukabila na Chuki dhidi ya Watanzania wenye mtizamo tofauti.
Membe mwenyewe kayaanika kuwa alikuwa ni mwenye roho mbaya.
Bogus kabisa yule.
Mimi hata ilifikia nikaanza kuhoji Utanzania wake,maana alikuwa hana tabia za Kitanzania,Viongozi wa dini kama kina Niwemugizi walipohoji wakatumiwa UhamiajiNami nilikuwa najiuliza hapa huyo kiongozi wa awamu ya 5 aenziwe kwa lipi haswa?
~ CHUKI
~ KIBURI
~ KWA UNYUKI WAKE
~ HOFU ALIYOITENGENEZA NCHI NZIMA
Ulikosa teuzi kwa sababu ya kabila lako au kazi?Kuna watu mpaka leo wanashangaa usomi wake aliofundishwa kwa Kiingereza wakati yeye sentensi alikuwa azivunjavunja.
Ameumiza watu wengi bila sababu za msingi, akaleta na ukabila, na utawala wa kiimla wa kutembea na mabulungutu ya hela za kodi ya umma.
Mimi ni Msukuma,na nilikuwa CCM damu kuliko hawa Chawa wa sasa, lakini nilivyoona Nchi niipendayo inaharibiwa na Dikteta uchwara nikasepa.Ulikosa teuzi kwa sababu ya kabila lako au kazi?
Sijakuuliza kabila.Mimi ni Msukuma,na nilikuwa CCM damu kuliko hawa Chawa wa sasa, lakini nilivyoona Nchi niipendayo inaharibiwa na Dikteta uchwara nikasepa.
Acheni uongo huyu wa sasa hata mbegu hazitaki jee hana chuki na wanaume?Mimi hata ilifikia nikaanza kuhoji Utanzania wake,maana alikuwa hana tabia za Kitanzania,Viongozi wa dini kama kina Niwemugizi walipohoji wakatumiwa Uhamiaji
Alikuwa na tabia za kutukana Wanawake mbele ya hadhara na kuwadhalilisha
Alipokufa nilisheherekea,msema kweli mpenzi wa Mungu.
Huyu Bibie anatabia za Kitanzania ila kaambukizwa kidogo na yule Mbwiga.
Fikra zipi ? Ujenzi wa barabara na Chato utaandika kurasa ngapi?Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)
Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..
Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr JPM... Vipi kuhusu mkakati wa kuzilinda Fikra zake, je WanaCCM, Watanzania, Wanaharakati, Wanasiasa, Wanazuoni, na wengineo wote hawajaona umuhimu wa kuzienzi fikra za JPM..
Je, ni vyema tukaziacha fikra zake pia ziendezake?
Au labda mm nimepitwa na Mpango ama mkakati huo wa kuenzi fikra za JPM itakuwa vyema nikataharifiwa na yeyote anaeujua...
Kwan Heshima aliyokuwa akipewa kila kona ya Nchi hii kipindi cha uhai wake hazikutokana na uhodari wa fikra zake ktk kuliongoza taifa hili??
Kama ni kweli fikra zake zilikua hodari ktk kutatua changamoto za taifa hili kwnn zisitafutiwe namna bora ya kuenziwa??
Mkuu mipango Iko mbioni usijali.Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)
Tumeshuhudia namna ambayo watu wametumia kuenzi fikra za Maalim Seif na kwamba itakuwa ni endelevu, na kiukweli ni kitu kizuri sana..
Sasa hoja kubwa ni kuhusu aliyekuwa Raisi wa hawamu ya 5 Mr JPM... Vipi kuhusu mkakati wa kuzilinda Fikra zake, je WanaCCM, Watanzania, Wanaharakati, Wanasiasa, Wanazuoni, na wengineo wote hawajaona umuhimu wa kuzienzi fikra za JPM..
Je, ni vyema tukaziacha fikra zake pia ziendezake?
Au labda mm nimepitwa na Mpango ama mkakati huo wa kuenzi fikra za JPM itakuwa vyema nikataharifiwa na yeyote anaeujua...
Kwan Heshima aliyokuwa akipewa kila kona ya Nchi hii kipindi cha uhai wake hazikutokana na uhodari wa fikra zake ktk kuliongoza taifa hili??
Kama ni kweli fikra zake zilikua hodari ktk kutatua changamoto za taifa hili kwnn zisitafutiwe namna bora ya kuenziwa??
hapo kwenye marafiki... nadhan huyu ndiye Raisi ambaye alionyesha kuwa na kundi kubwa la wafuasi akiwa kiongozi... unadhan wale wafuasi wake endapo wakitaka kuzienzi fikra za Hayati, watakosa nguvu ya kuishawishi familia... mm nadhan familia n lazima itatoa baraka tu
Bila Shaka mleta Uzi atakuwa mjane wa mwendazake.Magufuli alikuwa ni Raisi wa bahati mbaya, na ni kwasababu ya CCM infighting, hana chochote zaidi ya kurudisha Ukabila na Chuki dhidi ya Watanzania wenye mtizamo tofauti.
Membe mwenyewe kayaanika kuwa alikuwa ni mwenye roho mbaya.
Bogus kabisa yule.
Fikra za Maghufuri ndio zipi?Mdau mmoja kaniuliza na mm nimeona n vyema niulizane na wenzangu ambao ndio Jf (yaan ww unaesoma)