Ni kama Ccm inavyo watawala wana Ccm tu(wasio jitambua)
Ni sawa pia na Chadema.....inavyo watawala wanachadema tu(wasio jitambua)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni kama Ccm inavyo watawala wana Ccm tu(wasio jitambua)
Hivi bado kuna kaf duniani kumbe
Kazi kujivhekesha tuMambo magumu
Hehehe ndio wakati huo
Maana siasa za Tanzania huvuma kama upepo
Lugha gani umetumia wewe popoma;!!Kazi kujivhekesha tu
Kwann unapenda sana kujichekesha wewe gamba?Lugha gani umetumia wewe popoma;!!
Jibu ulicho ulizwaKwann unapenda sana kujichekesha wewe gamba?
Ni sawa pia na Chadema.....inavyo watawala wanachadema tu(wasio jitambua)
Haya maji marefu dogo, wewe endelea kuuza t-shirts na kofia za chama hapo Lumumba.Ni sawa pia na Chadema.....inavyo watawala wanachadema tu(wasio jitambua)
Sio kutawala kuongoza ndio neno sahihi!kwani CUF inataka kuwatawala wana CUF tu?
kutawala; uongozi tutakuona wakishika utawalaSio kutawala kuongoza ndio neno sahihi!
Tobaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa...Napendekeza Jussa aachiwe mikoba.