Sekeseke la Misafara ya Viongozi ni kero ya kudumu. Hongera Dkt. Mpango kwa kulitambua

Umeweka maelezo mengi kuhusu wewe halafu kidooogooo yanamuhusu Mpango.Ungeweka heading..."NILIVYOUONA MOTO BARABARANI"...!Anyway,no hard feelings!Andika utakacho.
Vyovyote unaweza kuliweka hata wewe ikikupendeza liweke hivi nilivyokomolewa barabarani
 
Mimi nilikua na jamaa zetu tunasafirisha mgonjwa alitufia mikononi kisa misafara yao isiyo na kichwa wala miguu, afadhali watumie ndege basi
Soo sad!
 
Nilishawahi unga kwenye msafara nikiwa nimembeba mjamzito pale bar ya port view kuelekea Central police Dar..!! Walinikimbiza mi nikawa nawahi Hindu Mandal. Walikuja kuniblock kwa gari nyingine toka Central. walielewa maelezo
 
Ngoja tuone. Lugha iliyotumika ni kasirisho kwa timu msoga Maana ni mamwinyi.na majizi.

Utashangaaa tamko linatoka Kuwa siyo msimamo wa Serikali kama ilivyokuwa kwenye samaki na maji ya Maiti huko mwanza
 
Ngoja tuone. Lugha iliyotumika ni kasirisho kwa timu msoga Maana ni mamwinyi.na majizi.

Utashangaaa tamko linatoka Kuwa siyo msimamo wa Serikali kama ilivyokuwa kwenye samaki na maji ya Maiti huko mwanza
Duh kwa kosa gani
 
Hii kitu ngumu sana kutekelezeka, ikilazimishwa TUSUBIRIE TUKIO KUBWA, ushauri wangu, kama viongozi wanajisikia vibaya kuwakalisha WANANCHI kwenye foleni

1- wapunguze safari.
2- safari zao zitangazwe kabla ili kuwaandaa WANANCHI mipango yao ya safari.
3- ikiwezekana wale viongozi ambao hadhi yao ni ya kufungiwa barabara. Watumie HELICOPTER kwenye safari zao.

Wajumbe wengine wapite na magari yao bila kusafishiwa.
 
Hawapendi helikopita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…