S sabai Member Joined Dec 17, 2012 Posts 69 Reaction score 7 Mar 6, 2014 #1 kati ya vyuo ambavyo ni kero katika boom ni sekomu, wadau niambieni boom lini?
C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,357 Reaction score 6,424 Mar 6, 2014 #2 sabai said: kati ya vyuo ambavyo ni kero katika boom ni sekomu, wadau niambieni boom lini? Click to expand... Sorry, naomba nami niulize hapo hapo. Hivi huwa mnapata kiasi gani? Huwa ni sawa kwa wote au?
sabai said: kati ya vyuo ambavyo ni kero katika boom ni sekomu, wadau niambieni boom lini? Click to expand... Sorry, naomba nami niulize hapo hapo. Hivi huwa mnapata kiasi gani? Huwa ni sawa kwa wote au?
S sabai Member Joined Dec 17, 2012 Posts 69 Reaction score 7 Mar 6, 2014 Thread starter #3 inategemea mwaka wa kwanza 472,500, mwaka wa pili na watatu ni tshs.461,250/=
Kiraka Kikuu JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 5,903 Reaction score 1,979 Mar 6, 2014 #4 Binafsi sikifaham SEKOMU
pitbull JF-Expert Member Joined Sep 22, 2011 Posts 596 Reaction score 184 Mar 6, 2014 #5 Chuo cha nini hichi....!!!!
M MTABO Member Joined Mar 6, 2014 Posts 95 Reaction score 57 Mar 7, 2014 #6 kati ya vyuo ambavyo ni kero katika boom ni sekomu, wadau niambieni boom lini? ni bora ungeanza na definition ya neno SEKOMU kabla hujaomba msaada!
kati ya vyuo ambavyo ni kero katika boom ni sekomu, wadau niambieni boom lini? ni bora ungeanza na definition ya neno SEKOMU kabla hujaomba msaada!
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Mar 7, 2014 #7 Hvi kumbe na nyie mnapewaga mikopo?
mckenzie JF-Expert Member Joined Apr 8, 2013 Posts 344 Reaction score 139 Mar 7, 2014 #8 Kwa mwaka/semester/mwezi/wiki ama siku? sabai said: inategemea mwaka wa kwanza 472,500, mwaka wa pili na watatu ni tshs.461,250/= Click to expand...
Kwa mwaka/semester/mwezi/wiki ama siku? sabai said: inategemea mwaka wa kwanza 472,500, mwaka wa pili na watatu ni tshs.461,250/= Click to expand...