Sekomu boom lini

Sekomu boom lini

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
kati ya vyuo ambavyo ni kero katika boom ni sekomu, wadau niambieni boom lini?
 
inategemea mwaka wa kwanza 472,500, mwaka wa pili na watatu ni tshs.461,250/=
 
kati ya vyuo ambavyo ni kero katika boom ni sekomu, wadau niambieni boom lini?
ni bora ungeanza na definition ya neno SEKOMU kabla hujaomba msaada!
 
Hvi kumbe na nyie mnapewaga mikopo?
 
Back
Top Bottom