Sekomu na asilimia 50% ni balaa

Sekomu na asilimia 50% ni balaa

sabai

Member
Joined
Dec 17, 2012
Posts
69
Reaction score
7
taarifa niliyonayo ni kwamba chuo kikuu cha kumbukumbu ya sebastiani kolowa(sekomu), wamepandisha pesa ya usajili wa course ili kusajiliwa kwa ajili ya kuanza muhula, yaani semester kutoka asilimia 40% hadi asilmia 50%.unatakiwa kulipa hiyo pesa ili uweze kusign boom haipo tofauti na udsm, ila busara inatakiwa kwa hili kwani wanafunzi wengi wa sekomu wanategemea boom, maswali ni serikali ya wanafunzi hili wanalijua au yaani sekomu-so, na kama wanalijua wamechukua hatua gani, lakini kwa uongozi wa serikali iliyopo ni m janga
yaani kuanzia rais mijililo hadi waziri mkuu hadi waziri wa mikopo, tunaomba serikali itusidie tupate kusajiliwa kwa ajili ya kuanza semeter, tu vyuo vingine bwana ni matatizo havina frame work nzuri ya utawala mambo yote yanatoka au yanaamuliwa kitandani, mkuuwa chuo,makamu mkuu wa chuo ni wanandoa na ndo walionga hela tcu wakasajiliwa chuo ambacho hakina hata professor hata mmoja! Kwa kweli nina mashaka na elimu itolewayo hapo sekomu poleni sana
 
haahaahaa umenichekesha but usijar tutalifanyia kazi lalamiko hiloo
 
Na wewe unakaa unajitapa kabisa kuwa unasoma chuo kikuu?
 
Jamani hivyo vyuo mnavyosoma majanga. Chuo hamna prof.? Mkikosa ajira mnaanza kulalamika. Nyie na teku lenu moja mwalimu wa diploma kumfundisha anayetafuta degree. Pathetic...
 
Nenda ukaangalie list ya walimu wapya uone wahitimu wa sekomu wamepangiwa wapi acha kuropoka usilojua
 
sekomu~CHUO CHA AKINA MAMA

nimeandika ivo kwakua mmezidi utaira,mara sekomu vs udsm
mlivo wajinga mtalinganisha hata na oxford,yani bongolala weng
 
Back
Top Bottom