sekondar

sekondar

ohmy

New Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
4
Reaction score
0
Habari wana Jf,

Naomba msaada wa taarifa juu ya shule ya sekondari kwa jina la 'Nguvu mpya'. Naomba kujua ipo sehemu gani? Ina vidato vingapi na kama ina 'O' level na 'A' level na kwa taarifa zozote za ziada ambazo zinaweza kuwa msingi nikizijua.

Natanguliza Shukrani.
 
Back
Top Bottom